Friday

She Got Beyonce's Swagger!! and i Got whose swagger??

Last weekend nilipita zangu beach, mimi sio mpenzi wa kwenda Gym na sina mpango nako kwakweli ila who knows? maybe ipo siku nitaanza kuingia Gym, so mara nyingi napendelea kwenda swimming jioni au kama nikiwa free mchana huwa nakatisha baharini kuogelea hata kwa dakika 45,
Juzi nikiwa katika utaratibu wangu wa kwenda beach nilikutana na my good friend Jackline patrick akifanya Photo shoot kwa ajili ya Tangazo la WoolWorth nadhani kama sijakosea, kama mnijuavyo ndugu yenu palipo na kamera ndio kwangu!! nikaingia hapo! kazi ikawa ni moja!! alipomaliza kufanya kazi yake na mimi kaingia kupata picha for my blog!! from kesho nitakuwa nazitupia humu ndani, tuanze na hizi Exclusive

Beach kuna raha yake bana hasa ukiwa na mtoto mkaliiiii on your side!!


Your safe with Me!! hata mawimbi makali yakija nitakukinga katika mikono Salama




i just loved those moments we had that day!!

2 comments:

  1. Anonymous11:06

    Martin mzuka sana kaka uko poa sio ila jaribu kupiga chuma kidogo ukaze nyama hizo na hiyo rangi im sure utatoka poa sana...soon nitakuinbox jinsi nilivyokuwa na nilivyosasa nadhani utaguswa kidogo.

    ReplyDelete
  2. Anonymous04:51

    ok u soo okey but fat for a model,may b in tz

    ReplyDelete

sema tukusikie