Tuesday

Ile Video niliyoiandikia Script si ndio hii hapa sasa?Bob Junior a.k.a. Sharobaro - Nanini : Tanzania best Music of Bongo Fleva

2 comments:

  1. Anonymous03:47

    iko poa kimtindo japo haileweki kidogo umejitahid u need to be focus mbaya,then kwenye nguo kikoti cha blue hakiko poa but si mbaya mana kaonekana nacho mara moja tu ,,then haina uhalisia kwa baadhi ya vipande hivi kweli maisha ya sasa unaweza kupanda ndani ya daladala ukamshika demu paja kwa urahis vile its like ni girlfrend wako aaahhhh pale umetubeba,na nyingine pale ambapo kama bob junior kajikwaa sijui wakatokea waschana watatu then wawili wakaondoka wakamuacha mwenzao mmoja pale hapako sawa at least angetokea tu demu mmoja basi mana maana ya kumuwacha yule mwenzao haiko poa.ila all in all ni nzuri iko poa.mwanzo mzuri.No Name here

    ReplyDelete
  2. Anonymous07:00

    Naomba nikujibu anony wa kwanza,
    nimeangali hii video mara mbili,mara ya kwanza nilikuwa makini sana na hii scrpt inakwendaje,ni nzuri na inaeleweka tuu,pale mdau unasema kuwa kajikwaa kuwa hainauhalisia sio kweli,maana kuna maeneo madem wazi ile mbaya,pale nafikiri target ilikuwa ni kuiba so wenzie wamemuacha ile achomoe wallet ya mshikaji,na kuhusu kupanda daladala mtu akamshika mwanamke,jamani hii ipo kabisa,kuwa vijana wanatabia za ajabu sana za kushika madem ovyo,kuna mahali juzi tu nilipita mtu akamdokoa dada ziwa,na vile alivyoreact mwizi na jamaa akashushwa kwenye gari,mi nafikiri imekaa poa kabisa,

    ReplyDelete

sema tukusikie