Thursday

Kim Kardashian

Pangilia kwa makini na kama ni mwanamke hakikisha umbo lako linaonekana kwa vizuri!! look at kim's body!! huwa hafanyi makosa katika kuchagua kiwalo!!
Kwa ma Gents kama mimi chagua suti ambayo inaushika mwili wako vyema!! bega lionekane sio suti ipo kama imetundikwa
Hata ukifika katika red carpet unakuwa na uhakika kusimama mbele ya Camera

2 comments:

  1. Anonymous02:10

    tehe tehe tehe martin leo umnikosha mana ulichokiongea ni UKWELI MTUPU inapendeza sn wote mkivaa nguo zinazoendana na tukio km ni mtoko wa usiku, casual au la sio huyu nice evening dress baba jeans na shati la kitenge.

    ReplyDelete
  2. you are a genious!

    ReplyDelete

sema tukusikie