Thursday
Maridadi Fashion Show Launching Party
Tulikaribishwa na Red Carpet: Producer wa Show Martin kadinda katikati,Kulia ni Make up artist Rehema Samo, kushoto ni Super model Myler na models wengine katika picha ya pamoja
Organizer Trish with Friends
Cloudstv walikuwepo kupata mawili matatu
Legendary Faroque Abdela alikuwepo katika party! its always a great pleasure Working with this man
Shukrani za dhati kwa mmoja wa wana Maridadi show for the great hospitality aliyonipatia mimi na Models wote
Top Model in Dar Es Salaam Giver meena, just fresh from Dar.
The Super male model Daxx
Designer Ally Remtulah With Lilian Bulengo
1 comment:
Anonymous
22:46
congrats kaka unafanya vema sana katika industry ya fashion. may God bless u.
lily
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
sema tukusikie
‹
›
Home
View web version
congrats kaka unafanya vema sana katika industry ya fashion. may God bless u.
ReplyDeletelily