Monday

Dondoo za 8020fashions 5th Anniversary,I was Event producer under Hadija Mwanamboka

Mwenye shughuli Shamim mwasha alisimama kama the Best dressed woman of the day, na Mc wa shughuli hii alikuwa Dina marios wa leo tena nadhani unamwona kwa nyuma hapo
CL na tanzanite full Set zilizovaliwa na Mwanvita makamba meneja mkuu wa masoko Vodacom zilikuwa kivutio kikubwa
Jennifer "LOPELOPE" wa bongo alikuwepo
IvYon mashuda alikanyaga zulia jekundu
Kitenge kilikuwa ndio Vazi rasmi la siku hii
BEA wa growing Up African all the way from New York
Bi harusi mtarajiwa Adeline alisimama in most expensive heels
kitenge kitenge tu

Upako ulitua kutoka kwa Julie wa Claus, inapendeza watu wa Mungu wakiungana na wanawake wenzao kusherehekea ujasiliamali wa mwanamke mwenzao
ubunifu tu
ubunifu
Hapo sasa Swaga zikishagongana!!
More pictures:http://8020fashions.blogspot.com/2011/11/8020-fashions-ann-red-carpet.html

Friday

Lets meet at Thai Village tonight!! SWahili Fashion Weeks Launch Party

Baada ile list ya washindaniaji Tuzo mbali mbali kutajwa na upigaji kura kuanza!! leo tunakutana katika party ya Launching ya Swahili fashion Week na launch ya tuzo hizo pia!! hope you will be there kama ambavyo mimi nitakuwepo, ni Thai Village Masaki kuanzia saa 3 usiku

Wednesday

Very Sorry:


Samahani sana kwakuwa kimya kwa muda mrefu! nipo nje ya jiji la Dar es salaam kikazi na najua kukaa kwangu kimya kumewakera watu wengi sana mpaka nimetumiwa mbofu mbofu, ndugu zangu mkumbuke na mimi ni binadamu nina majukumu mengine ambayo ndo yanaiwezesha kuwaletea new stuffs ndani ya hii blog yenu pendwa: ila kubwa zaidi nashukuru kwa kuwezesha blog hii kuingia katika kinyang'anyiro cha blog bora zaidi kwa mwaka huu kwa upande wa mitindo, katika blog zote zinazofahamika mjini hapa ni blog tano tu zilizoingia katika tuzo hii, tafadhari hakikisha tunashinda kwakuwa hii ni blog yako na yangu pia.... tushirikiane kuupata huu ushindi..... link ya kupigia kura ni hii hapa.... http://www.swahilifashionweekawards.blogspot.com/

Monday

BLACELETS:SILVER, WHITE GOLD AND DIAMONDS

Katika Fashion kuna mambo mengi ya kuzingatia ambayo yanakupa muonekano wa tofauti hasa kwa mwanaume wakileo kama wewe ambaye unapata muda wa kutembelea blog hii au hata kwako dada ambaye unamjali na kumthamini Doctor wako (boyfriend&husband)

Kuna blacelet za aina nyingi hii ni kutokana na mahitaji yetu kutofautiana, maybe ni kutokana na utofauti wa rangi za ngozi zetu au tabia tulizonazo! kwa mwanadada kama Doctor wako ni mtu mweny rangi nyeusi kama yangu ni vyema kumvalisha White Diamond au White Silver kwakuwa inamfanya ang'ae na kuonekana yuko smart hata kama atakuwa amevaa nguo ambazo zinarangi nzito
Every designs within the Blacelet has a meaning, jitahidi kujua michoro iliyokatika blacelet hizo zina maana gani au asili yake ni nini? kwanini uvae kitu usichoelewa maana na kwanini kipo hivyo!!
Kujua maana halisi ya Design ya blacelet yako itakupa confidency ya kutembea kifua mbele kwakuwa utakuwa na uhakika wa nini umevaa!! just imagine unakutana na mtu barabarani anakuuliza eh? unajua maana ya hili jiwe katika blacelet yako? am sure kama hujui utabaki unang'aa macho tu
Kwa upande wangu napenda Blacelets ambazo ziko simple na sio nyembamba sana!! mwanaume unaj=hitaji kitu kizito kidogo mkononi mwako
Hiyo hapo chini inawafaa vijana wenye age ya 18-24
Muungano wake ni Imara na hauwezi kuachiana mapema
Kwa wenye rangi nyeupe hiyo hapo juu itawafaa

inategemeana na aina ya kile unachokitaka! kuwa makini katika uchaguzi

Saturday

SPECIAL: Raymond Weil Watch

Hii inaitwa Noemia ambayo ni zaidi kwa ajili ya wanawake
Wataalamu wanaiita Nabuco Inverso
hii ni Nabucco Rivoluzione watch
Maestro Special Edition
Nabucco Va Pensiero Chronograph watch
Freelancer Date Chronograph watch
new Day-Date Automatic watch
Maestro Tradition watch
Raymond Weil Don Giovanni Cosi Grande ''Jumping Hour'' watch
Freelancer Autumn Time watch

Tuesday

Your Into Designers? am introducing Fashion Valley Boutique

Kama wewe ni mpenzi wa mastaa mbalimbali wa hollywood si mbaya kama ukipata bidhaa kutoka kwao ambazo ni original na zinaendana na hali ya hewa ya jiji... From KK kim kardashian, Jlo hata Gucci original utazipata Fashion Valley mikocheni kwa mwalimu nyerere, karibu kabisa na talk of the town!! come and shop in Styles and trend

Monday

LR Creations Launch and Fashion show produced By martin Kadinda

Heat from Zanzibar (Mbweni ruins)
From Being Video Model,Fashion Model and Now Fashion Designer!! LuckY Peter Designs under LR Creations
I truly Loved this pieces
I call them ready to Wear Classic
Stylist Rio Paul, Maimuna kubegeya (Fashion Journalist) Martin Kadinda (Producer) and Designer herself Lucky
My team, Martin kadinda,maimuna Kubegeya, Rio paul and our hair stylist Muddy