Wednesday

Very Sorry:


Samahani sana kwakuwa kimya kwa muda mrefu! nipo nje ya jiji la Dar es salaam kikazi na najua kukaa kwangu kimya kumewakera watu wengi sana mpaka nimetumiwa mbofu mbofu, ndugu zangu mkumbuke na mimi ni binadamu nina majukumu mengine ambayo ndo yanaiwezesha kuwaletea new stuffs ndani ya hii blog yenu pendwa: ila kubwa zaidi nashukuru kwa kuwezesha blog hii kuingia katika kinyang'anyiro cha blog bora zaidi kwa mwaka huu kwa upande wa mitindo, katika blog zote zinazofahamika mjini hapa ni blog tano tu zilizoingia katika tuzo hii, tafadhari hakikisha tunashinda kwakuwa hii ni blog yako na yangu pia.... tushirikiane kuupata huu ushindi..... link ya kupigia kura ni hii hapa.... http://www.swahilifashionweekawards.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie