Thursday

Bongo "Untouchble Gaga" Fiderine Iranga

why her? Being untouchble means una zaidi ya kile kilichozoeleka!! when we talk about Gaga tunaongelea ubunifu anaoutumia katika maisha yake ya kila siku kumake headline na kusimama as a brand,Why nimeamua kumuita fiderine Bongo Untouchble gaga?? ni kutokana kuibuka lindi la watu kibao wanaojiita magaga!! no matter umetokea wapi na reason gani umetumia kujiita gaga Fiderine atabaki kuwa Gaga tena untouchable gaga
Because she is a fashion Risk taker!! hajali yuko wapi na nani as long as anataka kuvaa anachokivaa atavaa!! huko ni kujiamini alikonako Gaga na kwa bongo mwenye uwezo huo ni fiderine Iranga peke yake
look at her style na mabadiliko yake kutoka makeup mpaka mtembeo!! She is Bongo untouchble Gaga

1 comment:

  1. Anonymous10:44

    kaka asante sana kwakutuwekea habari za fiderine iranga yaani nampendaga huyu dada wacha tu nampenda kwa sababu ana confidence sana na pi roho yake inaonekana nzuri amekuwa kimya nowdays sijui kwa nini nilikuwa nataka sana kujua habari zake sana asante sana kwakuweka habari zake endelea kutuharisha zaidi habari zake ubarikiwe na wewe kaka wa blog hii

    ReplyDelete

sema tukusikie