Hili ni jambo zito ambalo sijawahi hata kufikiria kuliandika, naona msaada wenu na nashukuru zaidi kwa kuwa na mashabiki wengi wanaonipenda, familia pamoja na watu wote ambao mko na mimi kipindi hii kigumu kwangu.
Najitahidi sana kuto kusoma habari zote zinazoandikwa na vyombo mbali mbali vya habari lakini ni ngumu sana kuto kuona yote mabaya yanayoandikwa juu yangu, Jambo la kwanza na la muhimu ambalo ningepeta wote mjue ni Sikuolewa kwa ajili ya pesa bali mapenzi ya dhati yaliyokupo kati yetu. sitaki kuamini kama yanipasa kulitetea hili pia. Nisingweza kutumia muda mwingi kuandaa harusi yangu kwasababu tu ya kipindi chetu cha televison. Sisi kama familai tunayaonesha maisha yetu ya kweli kwasababu muda wote tupo na cameraz hivyo sio rahisi kusimama na kuanzisha swala la harusi wakati sikuwa tayari na hii ndio sababu tunaitwa Kardashians, because We share, we give, we love and we are open!
Kwa watu wanaonijua naamini wanatambua kuwa mimi ni mbovu sana katika swala la kupenda, huwa napenda kwa moyo wangu wote na akili yangu yote. Nataka kuwa na familia yangu na watoto pia nahisi ndio maana nilikimbilia swala la ndoa kwaharaka, nahisi nilijiona nipo katika basi liendalo mwendo kazi na sikuweza kushuka pale nilipotakiwa kushuka lakini sasa natambua kua ilinipasa kushuka mapema kabla halijafika katika kituo hichi lilipo sasa.
I’m being honest here and I hope you respect my courage because this isn’t easy to go through. But I do know that I have to follow my heart. I never had the intention of hurting anybody and I accept full responsibility for my actions and decisions, and for taking everyone on this journey with me. It just didn’t turn out to be the fairy tale I had so badly hoped for.There are also reports that I made millions of dollars off of the wedding. These reports are simply not true and it makes me so sad to have to even clarify this. I’m so grateful to everyone who took the time to come to my wedding and I’ll be donating the money for all the gifts to the Dream Foundation.
Naomba samahani kwa yoyote ambaye nitakuwa imemuumiza , ila sikuzote baba yangu nifuate kile moyo wangu unachotaka.
Huo ujumbe umetoka kwa Kim Kardashian akizungumzia swala la kuomba Divorce yake
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie