Wednesday

AFTER TO SCHOOL BASH 2011 THIS SUNDAY.......PALE KATIKA BLUE CARPET SASA.. NATAMANI KUONA HIZI SWAGGER


TAMBUA HALI YA HEWA YA JIJI LETU, ANGALI TU RANGI ZILIVOVALIWA HAPA NA SIO LAZIMA KUWEKA KOTI HUU... UTACHUBUKA KWA JOTO













NI MUHIMU KUTAMBUA RANGI YA MWILI WAKO KULINGANA NA NGUO UNAZOVAA... HASA KWA EVENT HIZI ZITAKAZOFANYIKA MCHANA...

KUMBUKA KUWA WEWE NI KIJANA SASA JI-XXL

1 comment:

  1. kwa swaga tu you are number one. keep smart always

    ReplyDelete

sema tukusikie