Sunday

Mpango Mzima si ndio huu 17th Dec at Much more:We go all Black

ILE PARTY YA KUFUNGIA MWAKA WA 2011 KWA STYLE NDO HII HAPA, NADHANI USHAANDAA KIWALO KABISA CHA KUVAA, KAMA HUJAPATA NITAENDELEA KUWEKA DESIGNS MBALIMBALI AMBAZO ZITAKUWEZESHA KUJUA NI JINSI GANI UNAWEZA KUNG'AA SIKU HIYO
HIVI NDIYO NILIVYOTOKA KATIKA ILE ILIYOPITA...

1 comment:

  1. Anonymous00:40

    We mkali ndugu,
    By T. Kingi

    ReplyDelete

sema tukusikie