Monday

Part one: Jackline Patrick's Wedding

Many Thanks kwa mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kusimama kama wedding planner wa eneo la jana walipofungia ndoa, kuanzia utaratibu mzima mpaka kufanikisha wao kuitwa Mke na Mume, Now its Mr&Mrs Fundikira



Hapo sasa ndo mambo yakawa yamekamilikaaa
Wedding Photography was done by I-View Studios

1 comment:

sema tukusikie