Sunday

Beyonce ashusha Engine "IVY BLUE CARTER"


Beyonce “nimeutunuku ulimwengu Mtoto wa kike “Ivy Blue Carter” mtoto huyo aliyezaliwa New York Hospital usiku wa januari 7.

Ivy Blue ndio atakuwa mtoto wa kwanza kupatikana kutoka kwa mzazi ambaye ni mwanaHip Hop na mwana mama ni Mwanamziki wa RnB.

Kilichobaki ni kituo gani au kampuni gani ya habari itaweza kulipa kiasi kikubwa cha fedha ili kuwa wakwanza kutoa picha za motto huyu… dili ambalo huwa linafukuziwa na magazeti mengi makubwa ya burudani duniani.

Je,beyonce na Jay Z wataweza kuwapiku brad Pit na angeline jolie waliotoza vyombo ya habari dola mil 14 za kimarekani?? Haya mvutokwanza tunasubiri tu hizo picha na tunaamini kwa Tanzania tutakuwa wa kwanza kuzileta kwenu.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie