Friday

MY TOP 5 FEMALE ARTIST IN Tz



 NUMBER MOJA NI LADY JAY DEE, NOT BECAUSE NI DADA AU RAFIKI YANGU WA KARIBU ILA KWA SABABU AMEKUWA AKIGUSA MAISHA YA WATU WANGU WA KARIBU, NYIMBO ZAKE ZIMEMGUSA MAMA YANGU, MPENZI/MCHUMBA ANGU NA WATU WANGU WOTE KWA UJUMLA. MACHOZI, MALAIKA, WANAUME KAMA MABINTI NA TEJA NDIZO NIZIPENDAZO
NUMBER 2: NAMKABIDHI MAUNDA ZORO, NADHANI KWA SAUTI TAMU MAUNDA KANITEKA, NI MSICHANA ASIYEFYATUA NYIMBO MPYA KILA SIKU LAKINI AKITOA MOJA TU INAFANYA VIZURI KWA MUDA MREFU ZAIDI NA HAIISHI RADHA AU MAANA KUTOKA NA MABADILIKO YA MAISHA. NATAKA NIWE WAKO ITS ONE OF MY FAVORITE FROM HER
 NUMBER 3 NI SOJA MWASITI ALMAS......ALIPOINGIA NA KISA POMBE NDIPO ALIPONIGUSA NA KUTOKA HAPO NIMEKUWA MFATILIAJI WA NYIMBO ZAKE NA ALIZOSHIRIKISHWA.... SOJA NDIO NYIMBO NIIPENDAYO
 NUMBER 4 INAKWENDA KWA LINA... BORA NIKIMBIE NA ANGALAU NINA FURAHA NDIO NIZIPENDAZO KUTOKA KWA LINA.
INANIUMA KUANGUKA KWA RAY C KWA SASA KATIKA CHAT ZA MZIKI HAPA TANZANIA. NATAMANI KAMA ANGERUDI TENA NA KUFANYA VIZURI KAMA ALIVYOKUWA AKIFANYA VIZURI MIAKA KAMA 5 ILIYOPITA....

9 comments:

  1. Anonymous04:41

    martin nimesikia kwenye blog ya sintah kwamba wewe ni GAY ni kweli ? sorry kama nimekukwaza

    ReplyDelete
  2. Anonymous05:50

    hujakosea kabisa.......

    ReplyDelete
  3. Anonymous13:50

    sasa huyo maunda ndo kavaa nini jamani?si bora angetoka uchi tu tukajua moja.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous09:19

      malaya mbwa kabisa huyo...kuwa msanii hakuhusiani na kukaa uchimbona wenzie wamevaa nguo na wanapendeza, halafu hao ndo wanaotwaa tuzo ila atabakia hivyohivyo kwanza anajichubua,kasinyaa mpaka anchefua mimi ni mwanaume ila hapo siwezi lala....Martin na wewe ulikosa picha nzuri ya kuweka?huoni kama unadhalilisha your blog....kuna watu wa maana mi nawafahamu waangalia your blog au una mpango wa kuwapunguza....pia wewe si ni designer na stylist kwa nini msiwe mnakaa nao hawa kuwashauri....ni hayo tu.

      Delete
  4. anonymous1: huwezi kunikwaza kwa kuuliza swali ili upaje jibu. hakuna kitu kama hicho. binadamu tu hatukosagi maneno

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous05:21

      asante kwa kunijibu kuwa wewe si GAY...am disapointed...any way wale wanawake kule (sintah) wambea sana duh!!

      Delete
    2. martin dont ever listen to them rumours ..u are in the limelight kwahiyo people must talk and thats because u are doing a grea job. hakuna kurudi nyuma , zidi kupiga hatua watachoka watanyamanza

      Delete
    3. Anonymous01:39

      Martin kweli hata mimi umeniondoa mashaka yangu na sasa nafsi yangu iko safi kwani mimi huwa naamini kile mtu anachosema. Ila nilihisi hivyo kwa kuwa mko beneti na Rio na nadhani Rio anajifunia vile alivyo ila wewe nilikua na mashaka vile sijakuona kwenye kitchen part, baby shower n.k. kama Rio.

      Delete
  5. Anonymous01:51

    Jamani mbona watz tumezidi kuiga mpaka inatia kinyaa!! huyo maunda kavaa nini??? anyway ndo maana ataishia hivyo hivyo kuwaonyesha watu mwili wake mwisho wa siku anadharaulika na mtu wa heshima anatafuta anaeva nguo ndio aishi nae milele,atabaki kutumika tu!!! na ajue pia the clock is ticking anaelekea usiku!!!

    ReplyDelete

sema tukusikie