WAKATI NASOMA SHULE YA MSINGI KUNA SOMA LA MAARIFA AMBAPO NDANI YAKE KULIKUWA NA SAYANSI KIMU... NI SOMO AMBALO NILIKUWA SILIPENDI LAKINI NIKAWA NAFAURU VIZURI, NADHANI SABABU YA KUTO KULIPENDA HILI SOMO NI KUTOKANA NA KWAMBA LILIKUWA NI SOMO JEPESI NA WALIMU WALILITILIA MKAZO BADALA YA KUTILIA MKAZO MASOMO MAGUMU MAGUMU KAMA HESABU NA GEOGRAPHY..... ILA LEO HII NIMEGUNDUA SAYANSI KIMU ILIKUWA NI ELIMU YA KUJIKIMU NA KUJIJENGA KIMAISHA... HAPO NDIPO NILIPOJIFUNZA UMUHIMU WA MAPAZIA NDANI YA NYUMBA.... |
wow it is very nice
ReplyDelete