MCHANA WA LEO NIMEPATA NAFASI YA KUONGEA NA JACKIE CLIFF AMBAYE KWA SASA YUPO NJE YA NCHI KWA AJILI YA KUKUSANYA MZIGO WA DUKA LAKE JIPYA AMBALO LINA SLOGAN YA VIP COSMETIC LOUNGE MAENEO YA MIKOCHENI AMBALO BADO HAJALIPA JINA KAMILI AMESEMA, AMEFIKIRIA SANA JUU YA MAISHA YAKE KAMA BINADAMU NA KUGUNDUA IPO SIKU ATAKUJA KUITWA MAREHEMU NA ANASEMA AMEGUSWA NA MSTARI MMOJA KATIKA BIBLIA AMBAPO UNASEMA INABIDI BINADAMU KUKAA TAYARI MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA YA KUKUMBWA NA MAUTI YETU, HIVYPO ANGEPENDA IKITOKEA AKATANGULIA MBELE YA HAKI NA MIMI NI ANGALI HAI NISIMAMIE MAZISHI YAKE KAMA NILIVYOSIMAMIA MPAKA NDOA YAKE KUFUNGWA... PICHA JUU HAPO INAONESHA ALICHOANDIKA KATIKA UKURASA WAKE WA BBM KUWA "IKITOKEA NIMEKUFA WOSIA MARTIN KADINDA ANAMAAGIZO ANAJUA CHA KUFANYA.. DONT ASK" |
Huyu fashenista kiboko sasa hivi ni vituko vya mastaa tanzania
ReplyDeleteMatin wewe na huyu dada muna uhusiano gani?maana muko karibu sana au ni kama tulivyosoma magazetini ni ua kweli ni mtu wako
ReplyDeletekauli zote zimekaa kibiashara zaidi wapendwa mhhh lipsick cjui ohhh mara suti km zile mara band hakuna lolote mjini watu wananjia nyingi za kutafuta hela jamn
ReplyDeleteeheheheheeeee.lol.i love ur marketing approaching brother.big up.
ReplyDeletemh wizi mtupu!,....
ReplyDeletemi naona ushuzii tu hapa,
ReplyDeleteHUU UTANI......toeni hela huko kwa watoto yatima badala ya all this crap mnataka kwenye msiba.....if your dead,we'll honor you lakini siyo kwa style hii ma dia......da!!lipstick part..mmh..mnatangaza biashara 2....
ReplyDeletehapa umesahau less wigi na kope lol
ReplyDeletemake sure kabla hujafaumesave for you so called funeral!!!!!usitake kusumbua watu.
ReplyDelete