Monday

SAFIIIIIIIIIIIIII: BADILISHA MUONEKANO WAKO

 NI MUHIMU SANA KUTAMBUA RANGI NA MUONEKANO WA MWILI WAKO ENDAPO UTAVAA JEANS ZA AINA HII YA KUBANA KIDOGO.. MARA NYINGI ZINAWAFAA WATU WEMBAMBA KWAKUWA ITASHIKA MAENEO MUHIMU YA MAUNGO YAO.... KUWA HURU KUVAA JEANS YA RANGI TOFAUTI NA BLUE AU NYEUSI TULIZOZIZOE.. POKERDOTS WILL COMPLETE YOUR LOOK IN A BEST WAY

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie