TUNA WABUNIFU WENGI TENA WENGI SANA TANZANIA... ILA HAWA NILIOWATAJA NI WATU AMBAO KWA KIASI KIKUBWA WAMECHANGIA KUFIKISHA HII TASNIA HAPA ILIPO NA PIA WENGINE WAMEIBUKA JUZI JUZI NA KUWEZA KUSHIKA CHAT KUTOKANA NA UBORA WA KAZI WAO.. NATAMBUA KAZI ZA FARHA SULTAN, JAMILA SWAI, ZAMDA GEORGE, KISA(KIKI'S FASHION) JOKATE.. KIDOTI LOVING, SALIM MTOKO DESIGNS, MTANI,MARTIN KADINDA, BIANCA, GABRIEL MOLLEL, FRANSICAR NA WENGINEO WEEEEENGI.. NAHESHIMU KAZI ZA KILA MBUNIFU ILA HAO NILIOWATAJA NDIO KWANGU WANANIKOSHA.... NI MAWAZO TU TUSIJENGEANE CHUKI.. NAKUPA SIFA ZAKO ZA KWELI KULIKO KUKUPAMBA KWA UONGO. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie