Saturday

CLOUDSTV HOSTS MASQUERADE PARTY TRIBUTE TO STEVEN KANUMBA @MAISHA CLUB TONIGHT

BAADA YA KUTOKA MSIBANI USIKU  HUU NILIPATA NAFASI YA KUKATISHA MAISHA CLUB ILI KUUNGANA NA TEAM YANGU YA CLOUDSTV AMBAO LEO WAMEHOSTS MASQUERADE PARTY IKIWA NI HESHIMA KWA LEGENDARY STEVEN KANUMBA ALIYETUTOKA USIKU WA KUAMKIA  JANA...
LALA SALAMA KAKA YANGU, RAFIKI YANGU KIPENZI PAPAA MOPAO STEVEN KANUMBA, PIA NAMWOMBEA LULU KIPENZI CHANGU MWENYEZI MUNGU AWEZE KUMPA WEPESI KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie