Friday

KILI MUSIC AWARDS NANI KUNG'ARA MWAKA HUU KATIKA RED CARPET

HII NI KUTOKA KATIKA KUMBUKUMBU YANGU YA KILI MUSIC AWARDS FASHION POLICE YA MWAKA JANA... MIMA KUTOKA 69 RECORDS NDIE ALIYESHIKA NUMBER MOJA....... MWAKA HUU MIMA UTAONEKANA? DONT DISAPPOINT US

ELIGIVER KUTOKA BANG MAGAZINE AMBAYE NDIE FASHION EDITOR WAO WA KUTEGEMEWA KWANGU ALISHIKA NAFASI YA PILI... NAWASUBIRI KWA HAMU MWAKA HUU KATIKA ZULIA JEKUNDU...

KWA MWAKA JANA SAUDA MWILIMA ALICHEMKA NA AMEJIFUNZA KUTOKA HAPA NATUMAINI.. MWAKA HUU NAMTEGEMEA ATAKUJA KUREKEBISHA PALE ALIPOACHA DOSARI KWA MWAKA JANA AU NDIO UTAKUWA HONEYMOON? MAANA LEO NDIO ANAOLEWA

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie