NIMEANGALIA FAMILY DRAMA MOVIES KIBAO ILA HII KWA MWAKA HUU IMENIKOSHA... TENA NAKUMBUKA SIKUTAKA KABISA KWENDA KUIONA ILA JOKATE AKANILAZIMISHA... NILIINGIA HUKO NIMENUNA ILA NILITOKA NAUMWA NA MBAVU KWA KICHEKO... THIS WEEKEND NAIRUDIA TENA... KAMA HUJAWAHI KUICHEKI PLSS ITAFUTA AND TUKUTANE KWENYE COMMENTS. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie