Wednesday

FAKE ENGAGEMENT: WEMA SEPETU AND MWINYI AHMED


KWA MARA YA PILI WATANZANIA NA WAPENZI WA BURUDANI WALISHUHUDIA WEMA SEPETU AKIVALISHWA PETE NDANI YA MAISHA CLUB... NATOA UFAFANUZI WA WAZI HII HAIKUWA REALITY ILA NIKIPANDE CHA FILAMU AMBACHO MTAKIPATA NDANIA YA FILAMU YA SUPERSTAR YA WEMA SEPETU AMBAYO INAZINDULI WA HIVI KARIBU.... IELEWEKE NI FILAMU.

3 comments:

  1. Anonymous07:46

    bora umewambia mana watu wanavikhere khere kuchafulia wenzao majina wamwache lu u wemaaaa mamalao wew hunampinzani

    ReplyDelete
  2. Anonymous05:35

    uuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhh! Afadhali jamani - I was shocked - nikasema Wema sasa anajiaibisha - iloooooooooooooo GLOBAL PUBLISHERS muwe mnachunguza vitu kwanza kabla ya kupublish mnachafua majina ya watu jamani - aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous04:06

      Hahahagahahhagahahahhahahahhahahaha!!!! İ swear yu made my day... Eti iloooo hahahahah aaahhh!!!

      Delete

sema tukusikie