Tuesday

24 JULY: HAPPY BIRTHDAY JENNIFER LOPEZ..ATIMIZA MIAKA 43

KWA HARAKA HARAKA NILIKUWA NAJUA HUYU MAMA NI YUPO KATIKA AGE YA 30 SOMETHING ILA KUMBE YUPO 43... ONE THING I HAVE LEARN.. MAISHA HAYAONGOZWI NA UMRI BUT UWEZO WA KUFANYA KILE UKIPENDACHO.... BIRTHDAY WISHES TO JLO FROM ALL AROUND THE WORLD KUPITIA FB

HIZI CHINI NI BAADHI YA MVIE ALIZOZICHEZA JLO AMBAZO HUWA SICHOKI KUZITAZAMA... NAZIRUDIA MARA KIBAAAAO




No comments:

Post a Comment

sema tukusikie