Friday

"FUKUNYUKU" :NISHATEMBEA NA MASTAA WAKIKE 32 TANZANIA KWA HESABU ZANGU ZA HARAKA HARAKA na SWALA KONDOM APATWA NA KIGUGUMIZIimi: HEMED SULEIMAN

Kwanza kwa kuanza ningependa kumshukuru Hemed suleiman kwa kuwa mmoja kati ya wavaaji wazuri wa Single buttons ninazozitengeza... picha zote unaziona ni amevalishwa na Martin kadinda..... turudi katika swala zima ambalo limenifanya kuandika Post hii.... Nilitaka kujua ni vijana wangapi watuamiji wazuri wa condoms hasa kwa vijana maarufu. Mtu wangu wa kwanza amekuwa Hemed Suleiman aliniambia: "we jamaa maswali gani hayo bana? mimi kondomu za nini? muda wote mimi nakwenda dry... anakaongezea kuwa alikuwa katika mahusiano na msichana mmoja ambaye hajataka kumtaja na anasema kwa sasa wameachana imepita miezi 3... anasema aliwa kupima nae virusi vya ukimwi na walipojikuta wako safi wakaamua kujilipua kavu kavu....





Alinichosha na majibu yake ikanibidi nihamie katika swali la pili: ambapo nilimuuliza kama amewahi kuwa katika mahusiano na wasichana wakitanzania maarufu? 

HEMED: Marti Martin...... unauliza kengele kanisani??? unadhani kwanini naitwa Hemed PHD? nina taaluma ya kucheza na mioyo ya mabinti hawa wakibongo.... ila tatizo hawanivutii huwa napita tu kwakuwa nina hamu na wakati huo au ninakuwa sipo katika mahusiano na mtu yoyote....

MIMI: Duuh kwahiyo ushampitia nani hii..........?? na nanihiiii........??
HEMED: hilo sio swali... mpaka sasa nishawapitia 32... kwahiyo kuhusu majina katafute mwenyewe huko mtaani mbona stori zipo??
SINA LA KUONGEZA HAPO.

9 comments:

  1. Anonymous06:17

    loooooooooooooh mchafu huyu kijana

    ReplyDelete
  2. Anonymous07:25

    Kumbe wewe ni mchafu kiasi , unaonekana wa maana kumbe huna lolote , na zaidi huo ni ushamba wala hamna cha maana zaidi ya ulimbukeni tuuuuuuuuuuuu umekujaa

    ReplyDelete
  3. Anonymous11:14

    ndio mifano wanayoonyesha wasanii eti nakuongea nakujisfia kabsaaa ujinga?? maradhi yalivyo mengi hivi xaxa o wanafkiri ukimwi ndo maradhi pekee tu hadi washauriwa kuvaa kinga.. me nampa pole na pole kwa wote waliopitiwa cz tziii mtandao wangono kamwe hautavunjika

    ReplyDelete
  4. Anonymous11:52

    Yaani inaonesha kabisa hapo huyi hemed hamna kitu..et anajisifu kabisa..hebu nipishe limbukeni mchafu,aibu kwnza..kuna vya kujisifia..stars wengi wa bongo hawajielewi
    Nendeni shule jaman.looooh

    ReplyDelete
  5. Very very Childish...Kadinda, be careful bana ku interview vilaza namna hii ni aibu sana, tunahitaji interviews zinazoleta changamoto za kifira kwa vijana ili waweze kujifunza kitu......dah very low

    ReplyDelete
  6. mwanaume anasifiwa maendeleo na sio mambo ya kijinga kama hayo badilika

    ReplyDelete
  7. Anonymous02:53

    Hemed ur da stupidiest man i've known in ma entire life! Shame on u!

    ReplyDelete
  8. Anonymous05:29

    Stupid!hakuna mwanaume kichefuchefu ka ww hemed!na walio lala na ww,mafala tu!!!

    ReplyDelete
  9. Anonymous03:30

    kaka u did a great job well done

    ReplyDelete

sema tukusikie