SASA SWALI LANGU NI WACHINA WAMEIBA UBUNIFU WA SHERIA NGOWI.......? AMA NI SHERIA NGUO ALINUNUA NGUO HII NA KUIBADILISHA KIDOGO ILI KUIFANYA IWE NI MALI YAKE? KUBADILISHA FEW PATERNS KATIKA NGUO KUNAKUFANYA KUWA DESIGNER FOR WHAT I KNOW..... SASA SIJAJUA NI NANI HAPA ALAUMIWE.. JACKIE MAFURU YULE FASHIONISTA AMBAYE ALINUNUA NGUO YAKE KWA AJILI YA KITCHEN PARTY NA KWA BAHATI MBAYA IKAGONGANA NA DESIGNER WA HAPA BONGO....?? AU SHERIA NGOWI KWA KUTENGENZA NGUO AMBAYO TAYARI ILIKUWA IPO SOKONI?? KWASABABU PICHA INAONESHA GAUNI LILILOVALIWA NA MWANVITA MAKAMBA KATIKA SHINDALO LA MISS TANZANIA AMBALO LILIBUNIWA NA SHERIA NGOWI. |
Its different bwana stop hatin'
ReplyDeleteYani Sheria Ngowi's dress and the Chinese dress are different kabisaaaa. And to be honest I like Sheria's better. Na unaweza kukuta huyo Jackie kafanya kusudi maana watanzania tushawajua kwa kutaka kuchafua majina ya watu.
2tumie common sense hapa, Sheria's dress ilikwepo toka Last year haya yametokea ths year inamaana hilo duka nguo zinakaa mwaka na mwaka? Au 2jue date ya wao kuitengeneza ndo 2naweza kujudge, i still think wachina waliiba design cz hata hii nguo iliwekwa kwenye blogs nying sana duniani, so possibility ya wao kucopy na kutengeneza kingne ni kubwa na tena inavyojulikana kuwa tabia yao ndo kabisaa!
ReplyDeleteYaani wabongooo lazma waongee tuuu midomo yao haiwezi kufunga...pamoja na uthibitisho jacky aloutoa lkn badoo tu wanapenda ubishii..ol in ol jacky alipendeza funika bovu aisee haijawahi kutokea kama aliibaa basi aendelee kuibaa hizo designz maana imemtoa videadly!
ReplyDeleteHiyo ni design ya Sheria. Period. Hakuna asiyewajua wachina kwa kuigaa jamaani.
ReplyDeleteMartin who told you ukibadili kitu kidogo kwenye nguo makes u the owner of the design? Kma ingekua hibo basi kila mtu angekua designer. Tatizo Tanzania hamna designef alokua original all fakers wanachukua designs za watu na kusema zao which is very sad.
ReplyDeleteroho mbaya, china these days is like kko, tena wachina u can go kiwandani n tell them how u want your nguo to be and u choose your quality and they produce as many as u want and others they can sale to there wateja.. soo possibly Jacky likes Ngowi's design and go copy n paste in china... so anatakiwa tu kuheshimu CREATIVITY za watu.. hata kama wabongo in designing wako nyuma, but atleast they dare to try, which will make them greater designers in the world... kidogo kidogo keads to kikubwa...
ReplyDelete