IKIWA NI MMOJA YA WANAWAKE WENYE NGUVU ZAIDI TANZANIA, MWANVITA MAKAMBA ALIVALISHWA VAZI AMBALO LILIKUBALIKA NA KUITWA THE DRESS OF THE NIGHT... YAANI ILIKUWA NI NGUO KALI KULIKO NGUO ZOTE ZILIZOVALIWA KATIKA SHINDANO LA MISS TANZANIA KWA MWAKA 2011..... KILA MTU ANAYEFATILIA MITINDO NA UBUNIFU ANATAMBUA HII ILIKUWA KAZI YA SHERIA NGOWI.... MBUNIFU AMBAYE ANASHIRIKIA TUZO YA MBUNIFU BORA ZAIDI WA KIUME KWA MWAKA 2011-2012 |
Huwezi amini Martin i can see
ReplyDeleteAlivyoingia tu ukumbuni watu wengi walijua amecopy and paste kwa mwanvita but al in all alipendeza sana yaan alifunika hasaa
ReplyDeleteHi nguo ni design ya vera wang mwamvita alitupiga changa la macho na sheria wake sasa wameumbukaje but wote wamependeza
ReplyDeletembona mnashobokea sana vi2 vya nje kwani sheria hawezi hilo gauni sheria ndo wa kwanza huyo vera wang ndo kaiga.woode makshobii.
DeleteBora Jacquie kasema ukweli
ReplyDeleteI dont know Jacky but believe you me she wore that dress and ameitendea haki kuliko Mwamvita,uyo Sheria nae aache kudanganya wateja wake mambo gani ya Aibu haya anamtia mwenzie Mwamvita
ReplyDelete