Tuesday

NANI ANA HAKI HAPA? SHERIA NGOWI AMA JACKIE MAFURU??

HII IMEANZA KAMA UTANI... LAKINI NAHISI INAKOELEKEA SIO KUZURI...... SWALI LANGU LITABAKI KUWA LILE LILE?? NANI MKWELI HAPA DESIGNER WETU MAHIRI SHERIA NGOWI AMA JACKIE MAFURU PICHANI?? FATILIA MARUMBANO HAYA KUPITIA SOCIAL NETWORKS.. ILIANZIA KWA BLOGGER MWENZANGU HAKI NGOWI KUPITIA ACCOUNT YAKE YA TWITTER AMBAPO ALIANDIKA...... 

Mwonekano wa gauni hili watu wameiga kazi za bila aibu baada ya kumshonea mteja mmoja.. AIBU

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie