Monday

THIS EVENT KEPT ME BUSY NDO MAANA SIKUWA NAONEKANA HAPA..

BEEN THE ONLY MAN STANDING FOR THIS EVENT ILINIFANYA KUSAHAU MAJUKUMU YANGU KAMA BLOGGER... NILIKUWA NA KIMBIZANA BILA KUPUMZIKA KUHAKIKISHA HIKI TULICHIKIANDAA KINAFANIKIWA BILA KUWA NA DISSAPOINTMENTS.. SHUKURANI ZA DHATI KWA MEDI HOUSES ILA ZAIDI KWA WALE WALIOKUWA WANAKOSOA KWAKUWA HAO NDIO WANAOTUJENGA ZAIDI.

WHAT ABOUT THE DECOR
KABLA EVENT HAIJAISHA TUKAKIMBILIA AIRPORT KUMPOKEA MGENI WETU OMOTOLA... MORE PICS ARE COMING. PICHA ZOTE KWA MSAADA WA BLOGGERS MBALIMBALI    




No comments:

Post a Comment

sema tukusikie