Friday

Wema sepetu katika charity event iliyofanyika arusha last weekend....shukurani za dhati kwa angel justus with pendo kwa kufanikisha hii safari

ALIPOKELEWA NA ANGEL JUSTUS NA MISS ARUSHA 2012
GAUDENCIA... MWENYEWE ALIKUWA ANAJIITA DEREVA WA WEMA SEPETU... AKIWEKA MAMBO SAWA.

HAKA KATOTO KALIMPENDA SANA WEMA NA HAKAKUTAKA KUKAA NAE MBALI... WEMA U SHOULD ADOPT THIS KID.

WEMA ALIWAULIZA WATOTO YEYE NI NANI.. ALL OF THEM WALISEMA WEWE WEMA SEPETU TUNAKUONAGA KATIKA MAGAZETI NA TV.. NAJIULIZA HAWA WATOTO WADOGO HIVI HAYO MAGAZETI WANAYAONAJE? NA WAPI... ILA HUYU PICHANI NDO ALIWAACHA WATU MIDOMO WAZI.. ALIWAAMBIE WENZIO.. MMEKOSEA HUYU ANAITWA WEMA "DIAMOND" WEMA ALITOA MACHO KAMA KAKABWA NA MFUPA.. ILIBIDI APIGE NAE PICHA.

MC WA SHUGHULI HII

SNURA ALIKUWEPO PIA.

RISALA FUPI KUTOKA KWA MLEZI WA KITUO HIKI CHA GOOD HOPE MBELE YA MGENI RASMI WEMA SEPETU

MAJIBU YA RISALA YALITOLEWA NA MGENI RASMI.. IKIWA NI KUSAIDIA KUHAKIKISHA HAWA WATOTO WANAPATA ELIMU, ALIWANUNULIA TV PAMOJA NA PESA TASLIMU ZA KIMAREKANI DOLA1000

ZILIKABIDHIWA KWA MLEZI WA WATOTO HAWA.

GAUDENSIA AKITOA SHUKURANI ZAKE KWA WEMA SEPETU NA TEAM YAKE KWA KUUNGANA NAO KWANI HUYU NDIO ALIKUWA MTU WA KWANZA KUFIKA KATIKA KITUO HIKI.

PENDO AMBAYE NDIE ALIYEANDAA SHUGHULI HII AKITOA MANENO YAKE MACHACHE




WATOTO WAKASEMA WEMA HUWEZI KUONDOKA HAPA ARUSHA BILA KUJUA KUCHEZA DISCO MALAPAA....

SAHAU CLUB ZENU ZA MJINI HAPA NI DISCO MALAPA KWA KWENDA MBELE.

CHANGAMKA.....

AISEE NATAMANI KUWAPA STORI YA HAWA WATOTO ILA DAAAAH...... THEY MADE MY DAY THAT DAY.

HASA HUYU... AM SURE WEMA HATAMSAHAU KATIKA MAISHA YAKE

TRULY LOVE ....... SIKUJUI HUNIJUI ILA TUNAPENDANA.

I SALUTE THESE LADIES........THEY ARE STRONG AND HARD WORKING.

1 comment:

  1. Anonymous05:42

    Mungu akubariki Sana Wema na azidi kukuinua kila utakalo fanya uzidi kubarikiwa. Nakupenda sana ww ni mrembo hasa huna mpinzani unaroho nzuri sana

    ReplyDelete

sema tukusikie