Monday

WEMA SEPETU KUANZA KUREKODI REALITY TV SHOW YAKE MWENYEWE NA KUPRODUCE tv SHOW NYINGINE MBILI ZA JAMII.

BAADA KUFANIKISHA UZINDUZI WA FILAMU YAKE MWENYEWE YA "SUPERSTAR" MPANGO MAALUMU WA KUANDAA TV SERIES YAKE MWENYEWE AMBAYO ITAKUWA INAONESHA MAISHA YAKE YA KILA SIKU NA PIA ITAKUWA INAJISHUGHULISHA NA KUIBUA VIPAJI VIPYA VYA WASANII KWAKUWA KILA SIKU WATU WAMEKUWA WAKIMFATA WAKITAKA KUMSHIRIKISHA KATIKA FILAMU ZAO AU WAO KUWEZA KUCHEZA NAE FILAMU... HIVYO BASI TV SHOW YAKE ITAWAPA NAFASI WAIGIZAJI WACHANGA KUONEKANA NA KUPATA NAFASI ZA KUUNGANISHWA NA MAPRODUCER WAKUBWA ILI KUWEZA KUTIMIZA NDOTO ZAO....

  PIA WEMA SEPETU ANA LENGO LA KUWA MWONGOZAJI WA TV SHOW NYINGINE MBILI AMBAZO YEYE ATAKUWA NYUMA YA KAMERA NA KUWAPA NAFASI WATU WENGINE KUWEZA KUONEKANA... HIVI TV SHOW MBILI ZITAKUWA ZINAGUSA ZAIDI JAMII KWA UPANDE WA AFYA NA MALEZI.

3 comments:

  1. Anonymous04:07

    Go go Wema u can

    ReplyDelete
  2. Anonymous04:11

    Wema hongera sana ninachukia magazeti ya udaku yanavyokuandika tu kwa mabaya hawayaoni mazuri yako..unaweza tuletee mambo mamii na mbona hiyo blog yako huja weka post yeyote

    ReplyDelete
  3. Anonymous04:56

    Good idea ifanyiwe kazi hasa mana isiwe tu kuongea halafu basi! yani wema akianzisha reality tv ya maisha yake mbona ameukata! mnavoona magazeti yanapenda kumuandika sababu yanauza habari za wema zinuzawema anapendwa sana ana nyota kali hata magazeti yamchafue vipi hayawezi fua dafu! kwaiyo atumie hiyo nafasi kuukata ajiingizie mapato mwenyewe! kama kim!

    ReplyDelete

sema tukusikie