Sunday

THANK YOU CHINNESE FOR THE SERVICE, UNAKATWA KUCHA HUKU UNAPATA MASSAGE ON THESE CHAIRS


WAITING FOR MY CHINNESE GIRL....INSTYLE MAGAZINE ON MY HAND.. MASIKIONI MY EARPHONE NASIKILIZA KIZAIZAI YA DIAMOND PLATNUMZ SINA TATIZO.. MAANA WANAONGEA KICHINA SIELEWI HATA JAMBO MOJA ZAIDI YA PEDICURE NA MANICURE AMBAYO NDIO MANENO UNAULIZWA UKIINGIA TU MLANGONI..


HUDUMA NI KWA FOLENI.. ILA KIZURI NI KITU UNACHOKALIA NI MASSAGE CHAIRS SO HUKU UNAPATA MASSAGE NA HUKU UNASUBIRI HUDUMA.

UNAPATA HOT STONE MASSAGE YA MIGUU BAADA YA KUKATWA KUCHA.

SIJUI UTABINUA COMPUTER YAKO ILI KUANGALIA HIZI PICHA... MAANA NAHISI LUGHA GONGANA ILIMFANYA MPIGA PICHA AZIPIGE HIVI... YEYE ANAONGEA KICHINA NA MIMI NAONGEA KISWAHILI... PATA PICHA ILIKUWAJE HAPO?? KIINGEREZA HAJUI ZAIDI YA KICHINA NA MIMI KWAKUPENDA LUGHA YANGU NIKAWA NAONGEA KISWAHILI TU.. HEHEHHEHEHE I LOVED THIS MOMENT NATAMANI NINGEKUWA NILIREKODI VIDEO MNGECHEKA SANA...


OOOOOPS BAADA YA LUGHA GONGANA NIKALIPIA SERVICE NA KUSEPA.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie