Saturday

CYNTHIA MASASI & RICHARD MZIRAY KIMEELEWEKA ASUBUHI YA LEO: OFFICIAL MR & MRS MZIRAY

KANISA ILIKUWA NI AZANIA FRONT.... SAA 4 ASUBUHI NDIO KENGERE ZIMESIKIKA NA MLANGO UKAFUNGULIWA

BWANA HARUSI NDIO HUYU MR RICHARD

SINGLE BUTTON ZILIKUWA ADIMU.. UKIANGALIA KWA MAKINI IKO MOJA....

MTOTO WA MASASI...CYNTHIA HUYO HAPO.... KIMASO MASO.

MUDA WA KUSIGN HUO HAPO....

CYNTHIA AKAFUNULIWA NA SIGN IKAWEKWA

KINANG'ARAAAAAAA... MORE PICTURES BAADAE NAENDA KUPUMZIKA READY FOR RECEPTION USIKU..... (picha) 8020Fashions CAMERA

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie