Wednesday

MARTIN KADINDA OFFICIAL TANZANIA BEST MENS WEAR DESIGNER OF THE YEAR 2012


KWANZA NAPENDA KUSEMA NIMEAMINI HAKUNA KITU KIDOGO.... NILIKUWA NAONA NI JAMBO DOGO BUT THE WAY I FELT BAADA YA JINA LANGU KUTANGAZWA KUWA NDIO DESIGNER BORA KWA MWAKA HUU NILISISIMKWA NA MISHIPA YA DAMU NA KUHISI KAMA KUFA GANZI HIVI... ZILE SHANGWE NILIZOZISIKIA SIKUAMINI KAMA NI KIASI GANI WATU WANAKUBALI KAZI ZANGU.... IT WAS AN AMAZING FEELINGS... WALE MODELS SIJUI HATA WALITOKEA WAPI WOOTE WALIKUJA STEJINI KUNIPONGEZA......

NILIKOSA HATA NENO LA KUONGEA... I THINK PEOPLE EXPECTED ME TO SAY A WORD BUT SIKUWEZA KIUKWELI.. NILIKUWA NIMEPAGAWA.. NAJUA DESIGNER NILIOKUWA NAO KATIKA HIKI KINYANG'ANYIRO NI WAKALI ZAIDI YANGU NA WANAUWEZO ZAIDI  YANGU LAKINI NADHANI KUNA KITU CHA TOFAUTI NINACHO NDO KIMENIWEZA KUSHINDA... ILA NINAHESHIMU KAZI YA KILA DESIGNER.
WHY I KISSED WEMA SEPETU?? HILO NI SWALI NIMEULIZWA NA WATU WENGI... AND NIMEONA BAADHI YA MAGAZETI YAMESEMA NILIKACHA SHOW NA KWENDA KUMBUSU WEMA.... KIUKWELI HUYU MSICHANA AMEKUWA AKINIPA NGUVU SANA KATIKA KUFANYA KAZI ZANGU.. ALWAYS WEMA AMEKUWA AKINIAMBIA NIMEKUWA NIKITUMIA MUDA MWINGI KATIKA KAZI ZAKE AND I SHOULD FOCUS ON MY CAREER AS WELL.. KITENDO CHA KUMUONA KATIKA SHOW SIJUI HATA NIELEZE VIPI JINSI NILIVYOJISIKIA.. I HAD TO GO AND HUG HER.... NAKUPENDA SANA WEMA SEPETU HATA KESHO IKITOKEA AM NO LONGER YA MANAGER AND U HAVE MOVED ON WITH YOU LIFE TAMBUA NATHAMINI SANA MCHANGO WAKO KATIKA KAZI YANGU.. ALTHOUGH WE NI MSUMBUFU SANA ILA NAKUPENDA SANA TU.

3 comments:

  1. Great article….!!! Nice to know about new things with helping concept.
    Thanks for sharing this useful information.
    Keep up the good work
    Thank you,
    The given information is very effective.
    I’ll keep update with the same.
    Buy Perfumes Online in India
    Men Azzaro Perfume
    Women Azzaro Perfume

    ReplyDelete
  2. Anonymous15:41

    Jamani raha...........................hongera sana Martin ongeza sana juhudi utafika mbali zaidi na zaidi..........................I LUV WEMA SEPETU VERY MUCH..........................................................SIWEZI ELEZEA HATA AFANYE UTUMBO GANI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,TEAM WEMA FOREVER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!MARTIN SIMAMIA VIZURI KAZI ZAKE PLEASEEEEEE,,,,,,,,,,,,CJAIONA MOVIE YAKE YA SUPERSTAR HADI LEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!WAT A PROBLEM????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  3. Anonymous03:58

    mi nina furaha sana bt ingezidi kama ningesikia kuwa ni wapenzi coz nampenda wema kupita kiasi so natamani awe na mtu mstaarabu like u bt naomba kama nimekukwaza samahani

    ReplyDelete

sema tukusikie