TO ALL WATEMBELEAJI WA BLOG YANGU.. AM SORRY FOR NOT BEING HERE KWA MUDA MREFU... KUNA MENGI YAMEJITOKEZA HAPO KATIKATI NA SIKUWA NA LAPTOP YANGU PIA.. PROMICING TO HERE SOON.. MOJALA MUHIMU... SIKUANZISHA HII BLOG ILI KUTUKANA OR KUCHAFUANA NA ANYONE.. SO SAVE YOU COMMENTZ ZA KUTUKANA WATU ZAIDI YA KUWA NINAZISOMA NACHEKA NA KUZIFUTA.... |
|
| |
|
mambo mbona umemwacha wema picha zake zimeanza kuvuja. mwambie asiwape hao wauza magazeti ya faida angewachunia. kama alivyofanya nowdays
ReplyDeletelooking good
ReplyDeleteUkiona hivyo ujue unabugi so ubadilike, bt hatukulaumu as wewe bado ni kijana mdogo ambaye bado upeo wako ni mdogo pia na shule F.
ReplyDeleteUkikua na kupata akili utakuja kujiona fala.
Pia utaua career yako kama utaendelea namna hii.
Dunia hii ni ya ushindan wa hali ya juu na sio upuuzi tu.
Martin mimi huwa natembelea sana blog yako nahuwa na comment sana ila hujawai kuweka comment zangu sijui kwanini na sijawai tukana wala mkashfu mtu hata siku moja siyo poa ivyo mimi ni mtu na heshima zangu siyowakutukana na mimi huwa napenda sana kumuona wema ndo maana mara nyingi huwa lazima nipite blog yako naweza kumuona siyo vizuri ivyo unavyonifanyia usiwe mbaguzi sisi wote watanzania tunapendana
ReplyDeleteHIZO COMMENT UNAZOONA ZA KIPUUZI,SIJUI CHUKI AU KUTUKANA HATUANDIKI ILI UPUBLISH TUNATAKA WE USOME COZ ZINAKUHUSU WEWE NA SI WENGINE SASA HATA KM HUTAZIWEKA ITS OKEY YANI VERY OKEY KIKUBWA UMESOMA. MABLOGA WENGI MNA UPEO FINYU UKIPEWA COMMENT YA KUKUCHOMA ETI HUIWEKI UNAZANI MI NIMEANDIKIWA WASOMAJI WA BLOG HII????? WAO WANAITWA KADINDA??????? NIMEKUANDIKIA WEWE SO HATA USIPOWEKA SIKASIRIKI KIKUBWA UMESOMA HA HA HA HA ITS YOU AGAINT THE READERS SO DNT HATE THE GAME HATE THE.........ER
ReplyDelete