Sunday

Inshalaah

Kwa kila hatua Ya maisha ni vyema kumshukuru Mungu...




5 comments:

  1. Anonymous15:05

    Mungu akujalie kaka angu.....am always looking forward ur success

    ReplyDelete
  2. Anonymous00:35

    mtoto wacha kupiga mayoweeeeeee wacha watu waone wenyeweeee cjui unaupata huu wimbo. Acheni ushamba sio kila ki2 lazima useme au kwa kuwa una kajina kdg mjini????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous02:32

      Wivu wa kijinga,akisema kuna tatizo gani? Siyo kila kitu useme hiyo ni falsafa yako haituhusu. Tuondolee stress zako humu. #utajinyanyua#

      Delete
  3. Anonymous00:39

    Martin ni vyema kuuliza kama haujui kitu,kwani kumshukuru Mungu si Inn shaa Allah,bali ni Alhamdulillah

    ReplyDelete
  4. Mnajuaje kama hiyo ni nyumba ya one of his friend na yeye anaomba Insha'Allah Mungu amjaalie apate kama hiyo au zaidi?

    Jamani tusi m-judge nasi hatujui undani kwani kaandika tu Insha'Allah.
    Yawezekana kapita sehemu akatamani naye ingekuwa yake?

    ReplyDelete

sema tukusikie