Friday

Wema Sepetu... Hosting Her top 20 favorite songz today on 102.6 Choice fm from 3-5pm

Mama vannY siku ya Leo mchana anatakuwa live akitangaza.... Hii itakuwa ni Mara Ya kwanza kwa Wema sepetu kuwasha kipaza sauti na kuendesha show Ya redio kwa masaa mawili... Maybe hii itakuwa ni mwanzo wa sauti yake kusikika redioni.... Hebu tune to Choice Fm today 102.6 Fm and let us know what do you think...?? Anaiweza hii kazi





5 comments:

  1. Anonymous13:08

    YANI IYO NDIO KAZI YAKE KWA SAUTI YA WEMA AKUNA MATANGAZAJI WAKIKE ATAEMFIKIA.KILALAKHER WEMA MIMI PENDA WEWE SANA

    ReplyDelete
  2. Anonymous23:29

    I LIKE THE GIRL GO GO

    ReplyDelete
  3. so lovely and sexy so sweet

    ReplyDelete
  4. Anonymous21:54

    hebu mart twambie saa ngapi mrembo ataruka hewani? wengine tupo ofisini tujue muda tuwashe simu zetu tumsikie bibie akitema cheche, hapana chezea kubwa lao, wema the don........

    ReplyDelete
  5. Anonymous09:57

    Nimekosa hii pliz iwekwe you tube fans wa wema tusikie!

    ReplyDelete

sema tukusikie