SOMO LA BURE KWA WAANDAAJI WA FILAMU ZA KITANZANIA NA KWINGINEKO.. WARDROBE INAWEZA KUMJENGA MSANII AU KUMBOMOA... OLOVIA POPE KWA ALIYESIMAMIA MAVAZI KATIKA HII SERIES AMETENDA HAKI.. SHE HAS BEEN SEEN WITH SAME GRAY PATTERN JACKET BUT WITH DIFFERENT LOOKS... UKIANGALIA SEASON ONE AND SEASON 2 KUNA BLAZER MOJA YA GREY NA INAVIFUNGO MPAKA JUU PEMBENI VIKUBWA.. AMEIRUDIA RUDIA SANA ILA KABADILISHA BLOUSE NA STYLE YAKE YA KUVAA CHENI JUU NDEFU.... |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie