Tuesday

WEMA SEPETU SPECIAL APPEARANCE AT 8020FASHIONS WOMEN CELEBRATION 2013

DIVA WA FILAMU BINTI WA SEPETU... WEEKEND HII ATAKUWA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.. TEAM YAKE IKO MAKINI KUFATILIA KIWALO ATAKACHOVA MDADA HUYU... MWANAMKE WA MJII HUU UTAKUWA WAPI SIKUHIYO? LETS MEET AT DIAMOND JUBILEE VIP HALL BASI. BAADA YA HAPO WEMA ATAKUWEPO TRAVETINE HOTEL KATIKA UZINDUZI WA WIMBO WA MWANADADA DIDA.. UNAJUA KAMA DIDA APART FROM UTANGAZAJI PIA NI MWIMBAJI?


12 comments:

  1. Anonymous10:43

    Martin nguo ya Wema please isiwe ya wazi sana nguo ya kumfunika hadi chini ndo huwa zinampendeza sana,aifunike miguu au hata kama vile kwenye send off ya aunt

    ReplyDelete
  2. Anonymous22:59

    Love u wema, na me nimenunua ticket nitafurahi nikikuona japo nipige nawe picha. Tutakutana inshallah. Swabra wa Upanga

    ReplyDelete
  3. Anonymous01:27

    Martin my dear friend, samahan sn naomba nikushauri bure, mie hunifahamu ila naomba nikwambie kitu kizur kwa faida ya wema as wewe ni manager wake, nampenda sana sana sana wema real from my heart, ni dada mwenye roho nzuri na nimuwazi sn hajifichi km wenzake wanao jifanya wasafi kumbe wameoza, please please mshauri wema awe anaweka weaving nyeusi anapendeza mara mia kuliko gold coroul maana ni mweupe na kaongezea weupe so hapendezi vizur km akiwa na black, please please, thx harrieth

    ReplyDelete
  4. Anonymous00:59

    Serena???? how come???? SIo Diamond Tena?

    ReplyDelete
  5. Anonymous02:59

    weraaaaaaaaaa nasubirije kumuona queen of queens
    wema the don herself. cant wait

    Da J

    ReplyDelete
  6. Anonymous16:12

    Nguo ndefu plz maadui wazimie love u wema

    ReplyDelete
  7. Maryam wa Arusha02:37

    Wema ni mzuri hata akivaa gunia bado uzuri wake utaonekana, mi nampenda sana Wema ila kwa kuzingatia Max dress huwa zinampendeza sana, tupia nguo ndefu uzidi kuwafunika............................love you WEMA karibu sana Arusha.

    ReplyDelete
  8. Anonymous05:31

    Mambo kwanza hongera kwa kazi kubwa unayoifanya na uloifanya . Pls tuwekee picha za wema maana nateseka kusaka blogs zote bila mafanikio pls Martin
    Nampenda sana Wema

    Frm sweden

    ReplyDelete
  9. Anonymous03:57

    love u wema. ol the best in wateve u gonna perform tode. happy womenz day.

    ReplyDelete
  10. Anonymous03:09

    kapendeza sana wema, hana mpinzani ktk mastaa wote hakuna hata wa kumfikia hata penny akiongozana nae ataonekana house girl wake wa kitamboooooooo!

    ReplyDelete
  11. Anonymous04:15

    Avae nguo ndefu plse kwani usafiri wake sio kiviiile yani umezidiwa na mwili. But she is real beautfull

    ReplyDelete
  12. Anonymous06:11

    mambo vp kaka martin natumaini uko wewe pamoja na dada wema,ombi langu kwako nakuomba mfikishie dada wema jumbe huu pls mwambie mimi mdogo wake naitwa heri nina shida nae sana nimetafuta namna ya kumpata mpaka leo hii sijampata nakuomba kaka umfikishie ujumbe huu pls nina shida nae ya maendeleo pls na ananifahamu vizuri tu akiniona kama hatojali mwambie mimi heri mdogo wake na rehema samo wa make up pls mfikishie ujumbe huu asante

    ReplyDelete

sema tukusikie