Monday

DAVID BECKHAM AANIKA TATTOO YAKE MPYA CHINA

DAVID AMBAYE YUPO NCHINI CHINA KATIKA TRIP YA SIKU TANO AMEANIKA TATTO MPYA ILIYOANDIKWA KWA KICHINA TUMBONI KWAKE... TATTOO HII INAYOONEKANA KATIKA PICHA HAPO CHINI, supposedly means "Life and death are determined by fate, rank and riches decreed by Heaven."

MPAKA SASA DAAVID BECKHAM AMEFIKISHA TATTOO KUMI NA TANO MWILINI MWAKE... DAAAH... NINA TAMANI SANA TATTOO BUT SIDHANI KAMA NITAKUJA KUCHORA NA HUU WEUSI WANGU ITAONEKANA KWELI? AHAHHAHA

1 comment:

  1. Anonymous04:26

    MARTIN UNABOA SANA, WATU TUMEFALL IN LOVE NA WEMA SANA. MIMI BINAFSI IKIPITA SIKUMBILI BILA KUMUONA GAZETINI AU KWENYE BLOG YOYOYTE NAJISIKIA HOMA. SASA WEWE MBONAHUWEKI HABARI ZAKE WAKATI NDIO MANAGER WAKE.? UNABOA SANA, KAZI KUWEKA VIWATU VYA UKO ULAYA TU. AAAAGHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

sema tukusikie