Saturday

MEET "THE SEPETU'S" KAMA KARDASHIANS HIVI.

KIBONGO BONGO TUMEZOEA KUMUONA WEMA AKIMAKE HEADLINE BUT WENGI HAMJUI KAMA WEMA AMEZUNGUKWA NA DADA WATATU WALIOSIMAMA KIMAISHA NA WASIOENDA SPOTLIGHT...  LEO NAWAKUTANISHA NA WASICHANA WANNE WANAOKAMILISHA FAMILIA YA SEPETU.
1. ANAITWA TUNNU SEPETU... NAPENDA KUMUITA THE PERFECTIONALIST .... YEYE NI MAMA WA MTOTO MMOJA.. ANAISHI NCHINI MAREKANI.. TUNNU NI MPOLE.. ANAPENDA KUSIKILIZA.. ANAPENDA KUCHUKUA MUDA KABLA YA KUTOA MAAMUZI YA JAMBO ANALOPENDA.. NI MTAFUTAJI... SHE DONT SETTLE FOR LESS.. ALWAYS ANAPENDA KUNIITA BABY.. ANANIONA KAMA MWANAE.

2. NURU SEPETU... NI MAMA WA WATOTO WATATU, MARRIED AND BASED IN DAR.  NAPENDA KUMWITA KUBWA LA MAADUI.. HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWAKE.. TATIZO LOLOTE LITAKALOTOKEA KATIKA FAMILIA NURU AKIONEKANA TU EVERYTHING GOES BACK TO NORMAL...  AM SURE AKIIONA HII POST LAZIMA NILAZWE HOSPITAL KWA MAJERAHA.. SI MPENZI WA MASIHARA... ANASURA YAKE MOJA HIYO AKIKUPA WALAHI KAMA UNAUGONJWA WA MOYO HOSPITAL ZITAKUHUSU SANA TU... ANAUBAVU WA KUCONTROL SI FAMILIA YAKE PEKE YAKE ILA MPAKA YA MDOGO WAKE WEMA AKIINGI YEYE NDO KILA KITU.

3. SUNNA SEPETU: SHE DARLING, SWEETHEART... EASY TO GO WITH ILA ANA VISIRANI KAMA MDOGO WAKE WEMA...  HUYU PIA ANAISHIA MAREKANI KWA KIPINDI KIREFU... NAMPENDA NI MCHESHI NA ALWAYS NAPENDA KUMWITA MAJI MAJI.. ANAPENDA KULA SANA.. BATA NDEFU KWA KWENDA MBELE.. NI MPENZI WA FASHION AND VITU ASILIA. AKIJA BONGO LAZIMA NIHANGAIKE SANA KUMTAFUTIA VITU ASILIA....


4. WEMA ABARAHAM SEPETU.... HAPA SIJUI NISEME NINI.. SHE IS A RISK TAKER... ANA MAAMUZI YA PAPO KWA PAPO... ANAJIPENDA SANA.. PESA ZAKE ANAZITEKETEZA KATIKA NYWELE NA MAVAZI.... SHE SOOOOOOOOO OPEN MINDED.. IF SHE LOVES SHE LOVES FOR REAL... WANAUME WANAMPENDA AHAHHA SHE IS EYE CANDY TO THEM GUYS... CHARACTER YAKE HUWA NAIFANANISHA NA KIM.. KISAUTI.. UMBO NA MENGINEYO MENGI... USINIULIZE YAPI MAANA SINA JIBU LA KUKUPA... WEMA ANAKUJA NA REALITY TV SHOW.. USIJE UKAMUONA TUNNU TUKAANZA KUULIZA YULE NANI.. UTAMBULISHO NDO HUO... SOON DUNIA ITASHUHUDIA THE SEPETU'S 

20 comments:

  1. Anonymous05:20

    MASHAALWA MAMA ALIJAALIWA MOLA AWAPE UMRI NA MAISHA MEMA NIMEWAPENGA WOTE.
    FRM SWEDN

    ReplyDelete
  2. Anonymous11:12

    Wacha wee!! I can't wait to see the show, am a fan of the Kadashians. So Wema make us entertained just like the Kadashians.......Its about time Bongo will have a reality Tv show, maana kwa wenzetu Nigeria na SA tayari zime anza.

    ReplyDelete
  3. Anonymous00:23

    safi sana manager waukweli, nasubir kwa hamu sn hiyo show maana mie na wema dama damu mean nampenda sn km nikwambiavyo siku zote, wadada waruzi na wanguvu balaa, i cant wait,

    Harrieth

    ReplyDelete
  4. Anonymous00:42

    jamani familia nzuri na me namjua da nuru kubwa la maadui,apendi masiala, iyo shoo ya wema itakuwa kali kwa africa masharika mbona tutafaidi, wamuache miaka miye shosti wangu sunna nakuona,

    ReplyDelete
  5. Anonymous00:58

    uwiiii i cnt wait, the way i luv Wema....

    ReplyDelete
  6. Anonymous06:03

    cant wait for this show Martin.....love u Sepetu's

    ReplyDelete
  7. Anonymous01:54

    jamani wema unaakina dada wazuri kweli na wanguvu natamani nipate dada kama hao jamani na hiyo show yako naitamnije nakupendaje jamni wema basi tu sikujui na wewe hunijui ila nakupenda kiasi kwamba hata ukiandikwa vibaya nashidwa kulala love u wema

    ReplyDelete
  8. Anonymous02:55

    yaani na wema anavyojua kidhungu sasa mimi nampendea hilo tu kwa kweli, wema nampenda sana

    ReplyDelete
  9. Anonymous04:32

    I LOOV THAT, AM HAPPY 4 THEM....WEMA IS MY #1

    ReplyDelete
  10. Anonymous10:44

    warembo wote, ila Wema bado anatisha, ngoja tusubiri hiyo show, i hope itakuwa babu kubwa,

    ReplyDelete
  11. Anonymous05:39

    manager wa ukweh safi saaana bt tembeleaga na blog yake bac
    ,congrate mama wema lv u bby wema stay blessed

    ReplyDelete
  12. Anonymous12:59

    Jamani wadada wazuri mno. Hongera kwa mzee na mama Sepetu!

    ReplyDelete
  13. Anonymous00:40

    Achen mungu aitwe mungu cant wait to see thi show of cutie girls. Ur a gud manager. Luv u martin with ur wema. Naona kichefuchef sintah ameanza kujikomba kwa wema. Wakuache mama miaka 13000000

    ReplyDelete
  14. Anonymous10:46

    I luv wema Soo much she's Soo sweet an I saw her dada nuru 1day she's soo pretty nlitamani kumsalimia

    ReplyDelete
  15. Anonymous09:20

    jaman mbona watajuta wema akija na shoo yake wambea hao kama nawaona watakomaje sasa.luv u wema jamani luv u wema

    ReplyDelete
  16. Anonymous05:35

    Its PERFECTIONIST kadinda not perfectionalist

    ReplyDelete
  17. Anonymous23:23

    huyo shetani mnataka kumfananisha na Kim aaaaaaaaaaaaaaah

    ReplyDelete
  18. Anonymous08:24

    This is something av ben waiing for, natamani ianze ata kesho. Big up to SEPETUZ

    ReplyDelete
  19. Anonymous08:29

    alafu Martin Kadinda na wewe ndo tukufananishe na Jonathan Cheban maana ww si ndo bff ya Wema? like Kim K and Jonathan C

    ReplyDelete

sema tukusikie