Tuesday

OUR TRIP TO ARUSHA... WEMA SEPETU'S VACAY

PETIT MAN ALIONGOZA
TINNY DADY

MADAME DIRECTOR HERSELF

KISS TO HER MANAGER FOR THIS TRIP
NDEGE YA KUKODI INAKUWA TUPU JUST FOR YOU AND YOUR PEOPLE.







9 comments:

  1. Anonymous08:59

    Jaman nampenda sn huyu dada, Martn yn nataman nikutane nae. She is so cute. Haiwez kupta cku bila kusoma habar zake ht km ni za zamani.

    ReplyDelete
  2. Anonymous23:49

    jamani Martin me napenda uwe na Wema pleaseeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Anonymous03:25

    jamani wema Mungu akupe miaka 800 nakupenda sana sana sanaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Anonymous11:05

    precision air siku huzi wanakodisha ndege we kadinda?

    ReplyDelete
  5. Anonymous04:48

    Hakuna mdada namu-admire kama Wema jmn,pls Martin tell her that I real luv her,nikickia anasemwa vbaya naumia kama ndugu yangu,tell her acjal wachimba chumvi tupo wengi nyuma yake kum-surpot.

    ReplyDelete
  6. Anony wa mwanzo.
    Umemaliza nampenda sana Wema nawish kukutana naye japo once!!!

    ReplyDelete
  7. Anonymous07:17

    Nampenda Wema toka ndani ya roho yangu hata nikisoma kitu kibaya naumia kaa mwanangu kafanya . Mola mjaalie mwondolee shari na midomo ya maadui,na akujaalie mapenzi kwa ndugu na watu wako wa karibu mpe maisha mema na zaid ya hayo

    Z
    frm sweden

    ReplyDelete
  8. Anonymous05:43

    NAMPENDA WEMA MPAKA BASI MUNGU AKUJALIE MUME MWEMA MY DEAR.

    ReplyDelete
  9. Anonymous03:20

    Martin muongo, ndege za kukodi nyingi zinaondokea terminal I, precision hawana ndege ya kukodi si useme tuu mlipanda kwa bei ya walalahoi wote no class free seat......

    chumvi nyingine bwana khaaaa utatuondolea utamu wa kumpenda bi dada WEMA.

    ReplyDelete

sema tukusikie