LAST WEEKEND SIKUWA NA KAZI NYINGI ZA KUFANYA... I HAD MY TIME FOR MOVIES.. AND HII IDENTITY THIEF ITS ONE OF THREE MOVIES NILIPEWA NA MCHIZI WANGU ALBERT MANIFESTER... AISEEEE I DONT WANNA SAY ANYTHING NATAMANI UITAFUTE UIONE... MBAVU ZAKO ZIFUNGE VIZURI MAANA ZITAVUNJIKA KWA KICHEKO... KAMA HUTAIPATA LIBRARY.. WAHI MLIMANI CITY CINEMAX PALE INAONESHWA. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie