UKIONGELEA SWALA LA HIT MAKER KWA MAREKANI KWA SASA... HUTASHINDWA KUMTAJA JENNIFER LOPEZ AND PITBULL... WHY? KWAKUWA KILA NYIMBO WANAYOFANYA COLLABO HUWA INAINGIA KATIKA CHART KUBWA ZA MZIKI DUNIANI... ONCE AGAIN WANAKUJA NA NEW TRACK NA WAMEANZA KUREKODI VIPANDE VYA VIDEO HIYO.... I LOVE WHAT AM SEEING.. SIJUI WEWE.. JUST GO THROUGH THE PICTURES HIZO CHINI NA UTANIAMBIA. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie