Monday

TANZANIA MITINDO HOUSE 7TH ANNIVERSARY AS CAPTURED BY ALBERT MANIFESTER


JUMAPILI HII TANZANIA MITINDO HOUSE TUMETIMIZA MIAKA SABA TANGU KUANZISHWA KWA TAASISI YETU AMBAYO INAHUSISHA WABUNIFU WA MITINDO WA KITANZANIA. TAASISI HII INALEA WATOTO KUMI.

KLYNN NA NANCY SUMARY  WALIKUWEPO PIA.

FOUNDER WA TMH

MC WA SHEREHE  ALIKUWA NI MBUNIFU ASYA IDAROUS
GREEN WAS SOMETHING IN HERE... MYER WITH MARYAM
MNADA



 TULIFANYA MNADA WA PICHA ILIYOCHORWA NA MTOTO MMOJA WAPO ANAYELELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE.

MONICA WA MONFINCE NDIYE ALIYENUNUA PICHA HII KWA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MOJA.
MAMA WA MITINDO TANZANIA ASYA IDAROUS, DESIGNER EDNA, MARTIN KADINDA NA ROSE VALENTINE.

MODEL, DESIGNERS AND MAKE UP ARTIST KWA PAMOJA.

MISS MASHA AND HERRY NASSER WALIKUWEPO

KUTOKA MAGIC FM MISHI BOMBA KUSHOTO NA SALMA MSANGI WALIKUWEPO.

Wednesday

WATCH WITH ME "TEEN WOLF" SERIES

Kuna watu tunapenda kuangalia series mostly on weekends or hata baada ya kutoka kazini sometimes hata episode moja.. kwa sasa mimi nafatilia hii hapa... aisee ni kali sana kama hujaanza kuiangalia you should watch it.... najiuliza itaishaje kwa palipofikia hivi sasa daaaaaaah