| JUMAPILI HII TANZANIA MITINDO HOUSE TUMETIMIZA MIAKA SABA TANGU KUANZISHWA KWA TAASISI YETU AMBAYO INAHUSISHA WABUNIFU WA MITINDO WA KITANZANIA. TAASISI HII INALEA WATOTO KUMI. |
| KLYNN NA NANCY SUMARY WALIKUWEPO PIA. |
FOUNDER WA TMH
| MC WA SHEREHE ALIKUWA NI MBUNIFU ASYA IDAROUS |
| GREEN WAS SOMETHING IN HERE... MYER WITH MARYAM |
| MNADA |
TULIFANYA MNADA WA PICHA ILIYOCHORWA NA MTOTO MMOJA WAPO ANAYELELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE.
| MONICA WA MONFINCE NDIYE ALIYENUNUA PICHA HII KWA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MOJA. |
| MAMA WA MITINDO TANZANIA ASYA IDAROUS, DESIGNER EDNA, MARTIN KADINDA NA ROSE VALENTINE. |
| MODEL, DESIGNERS AND MAKE UP ARTIST KWA PAMOJA. |
| MISS MASHA AND HERRY NASSER WALIKUWEPO |
| KUTOKA MAGIC FM MISHI BOMBA KUSHOTO NA SALMA MSANGI WALIKUWEPO. |
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie