Mungu akujalie kaka angu.....am always looking forward ur success
mtoto wacha kupiga mayoweeeeeee wacha watu waone wenyeweeee cjui unaupata huu wimbo. Acheni ushamba sio kila ki2 lazima useme au kwa kuwa una kajina kdg mjini????
Wivu wa kijinga,akisema kuna tatizo gani? Siyo kila kitu useme hiyo ni falsafa yako haituhusu. Tuondolee stress zako humu. #utajinyanyua#
Martin ni vyema kuuliza kama haujui kitu,kwani kumshukuru Mungu si Inn shaa Allah,bali ni Alhamdulillah
Mnajuaje kama hiyo ni nyumba ya one of his friend na yeye anaomba Insha'Allah Mungu amjaalie apate kama hiyo au zaidi?Jamani tusi m-judge nasi hatujui undani kwani kaandika tu Insha'Allah.Yawezekana kapita sehemu akatamani naye ingekuwa yake?
sema tukusikie
Mungu akujalie kaka angu.....am always looking forward ur success
ReplyDeletemtoto wacha kupiga mayoweeeeeee wacha watu waone wenyeweeee cjui unaupata huu wimbo. Acheni ushamba sio kila ki2 lazima useme au kwa kuwa una kajina kdg mjini????
ReplyDeleteWivu wa kijinga,akisema kuna tatizo gani? Siyo kila kitu useme hiyo ni falsafa yako haituhusu. Tuondolee stress zako humu. #utajinyanyua#
DeleteMartin ni vyema kuuliza kama haujui kitu,kwani kumshukuru Mungu si Inn shaa Allah,bali ni Alhamdulillah
ReplyDeleteMnajuaje kama hiyo ni nyumba ya one of his friend na yeye anaomba Insha'Allah Mungu amjaalie apate kama hiyo au zaidi?
ReplyDeleteJamani tusi m-judge nasi hatujui undani kwani kaandika tu Insha'Allah.
Yawezekana kapita sehemu akatamani naye ingekuwa yake?