Hakuna mdada namu-admire kama Wema jmn,pls Martin tell her that I real luv her,nikickia anasemwa vbaya naumia kama ndugu yangu,tell her acjal wachimba chumvi tupo wengi nyuma yake kum-surpot.
Nampenda Wema toka ndani ya roho yangu hata nikisoma kitu kibaya naumia kaa mwanangu kafanya . Mola mjaalie mwondolee shari na midomo ya maadui,na akujaalie mapenzi kwa ndugu na watu wako wa karibu mpe maisha mema na zaid ya hayo
Martin muongo, ndege za kukodi nyingi zinaondokea terminal I, precision hawana ndege ya kukodi si useme tuu mlipanda kwa bei ya walalahoi wote no class free seat......
chumvi nyingine bwana khaaaa utatuondolea utamu wa kumpenda bi dada WEMA.
Jaman nampenda sn huyu dada, Martn yn nataman nikutane nae. She is so cute. Haiwez kupta cku bila kusoma habar zake ht km ni za zamani.
ReplyDeletejamani Martin me napenda uwe na Wema pleaseeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletejamani wema Mungu akupe miaka 800 nakupenda sana sana sanaaaaaaaaa
ReplyDeleteprecision air siku huzi wanakodisha ndege we kadinda?
ReplyDeleteHakuna mdada namu-admire kama Wema jmn,pls Martin tell her that I real luv her,nikickia anasemwa vbaya naumia kama ndugu yangu,tell her acjal wachimba chumvi tupo wengi nyuma yake kum-surpot.
ReplyDeleteAnony wa mwanzo.
ReplyDeleteUmemaliza nampenda sana Wema nawish kukutana naye japo once!!!
Nampenda Wema toka ndani ya roho yangu hata nikisoma kitu kibaya naumia kaa mwanangu kafanya . Mola mjaalie mwondolee shari na midomo ya maadui,na akujaalie mapenzi kwa ndugu na watu wako wa karibu mpe maisha mema na zaid ya hayo
ReplyDeleteZ
frm sweden
NAMPENDA WEMA MPAKA BASI MUNGU AKUJALIE MUME MWEMA MY DEAR.
ReplyDeleteMartin muongo, ndege za kukodi nyingi zinaondokea terminal I, precision hawana ndege ya kukodi si useme tuu mlipanda kwa bei ya walalahoi wote no class free seat......
ReplyDeletechumvi nyingine bwana khaaaa utatuondolea utamu wa kumpenda bi dada WEMA.