Tuesday

Beautiful Tanzanie Na I-view Photography Ndani Ya KISURA 2009

Mchakato wa kumtafuta Kisura wa Tanzania ndio huo umeanza na hao pichani ni visura wa kutoka karatu ambao wamepata ticket ya Kuingia katika kambi ya kisura mwaka huu! leo wapo arusha Then Tanga na tar 20 na 21 watakuwa ndani ya jiji la Dar es salaam Hivyo kama unadhani unavigezo vya kuwa kisura wa mwaka huu wa 2009 Kaa tayari!!



Mbunifu maarufu wa mavazin Ali rehmtulah ni Moja kati ya Majaji wa shindano hili anaeonekana kuwa makini sana katika kutoa maamuzi!