Sunday

2nd Anniversary ya Tanzania mitindo house!!

Jumamosi hii Tanzania mitindo house ilikuwa na party ndogo ya kutimiza miaka miwili ya kuanzishwa kwake!! Ni jambo ambalo limegusa wadau wengi na walijitokeza kwa wingi kuchangia chochote ili kuweza kuhakikisha TMH inawasaidia watoto wengi zaidi!! kama hukuweza kufika na unafikiri unahitaji kuichangia TMH please wasiliana na Khadija mwanamboka!! chochote kile kinaweza kuwa msaada kwa watoto hawa hasa kwa kipindi hiki cha mwezi wa toba(Ramadhan)




Bongo Star search walikuwepo kuonyesha mapenzi yao ya dhati kwa watoto hawa wa TMH


Vyombo Vya habari mbali mbali vilikuwepo!! Hapa mdau mwenzangu nilimfuma akiwa bussy!!


Tumejisikia furaha sana kupata mlo wa mchana na watu mbali mbali maarufu ambao tumezoea kuwaobna katika tv!!


Watoto walifarijika sana kula chakula cha mchana wa washiriki wa Bongo star Search


Watoto wa TMH wakipata mlo


How hot can u be in a simple collection of Your dress? Lady jay dee alihaidi milion moja kwa TMH


Madam Ritha alihaidi kuchangia milion 5 katika ujenzi wa kituo cha michezo Kigamboni kwa ajili ya watoto wa TMH!!


K-lynn alikuwepo kuungana na wadau mbali mbali katika maazimisho haya ya miaka miwili ya TMH



Kanumba alikuwepo kuwakilisha wasanii wa filamu katika kuwasaidia watoto wa Tanzania Mitindo House!


Ali have You becamed player? maana everyday upo na kidemu kipya!!



Hapa sikuelewa kidogo! Asia anampango wa kuwa mtangazaji Wa EATV na kuachana na ubunifu?


Jide; Ushauri wa mume wangu Gadner ni kila kitu kwangu!!


Diva-s Shines always!!



Lady jay dee Na founder wa Tanzania Mitindo House


I-View Photography walikuwepo katika Fund raising hii!!



God mother wa TMH na mustafa Hassanali walikuwepo



Mwanvita Makamba na Mange wakibadilishana mawazo


Mwanadada Aunt Ezekiel na Fidelin Iranga wakiteta!!