Sunday

Wadau wangu wa Mjengoni!!


Huku mzee Habibu, huku heka Heka nazitaka na picha nazo?? Aku sitaki!! nageukia pembeni!!


ZAmarad na Dina Marious Vimwana wa Leo tena!!



Diva Loveness Love na Adam mchomvu


Anaitwa adam!! utampa katika XXL


Mzee wa So So Fresh na Zamarad mketema


Kaptain wa Jahazi!!


Adam, dina marious,B12,Geha na Zamarad



Dj Bulla na malkia sophia Kessy!!



Hawa wadau wangu kutoka katika dawati la bambataa!! wakiongoza wa Malkia sophia kessy

4 comments:

  1. Anonymous04:49

    wadau wang'ara sanaaaaaaaaaaaaaa! geha mzuri

    ReplyDelete
  2. Anonymous04:52

    HEEE!! jamani watu wanasema Diva hakuna kitu!! mbona yaliyomo yamo humu!! ametakata mtoto. adamu anakula nini?

    ReplyDelete
  3. Anonymous09:41

    mimi namtamani Zamaradi mketema kusema kweli, na Geha anavutia ila amekaa kishambega zaidi au unasemaje anonymous?

    ReplyDelete
  4. Anonymous05:47

    wadau wanavutia gadna kama sio mume wa mtu mh hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

sema tukusikie