Wednesday

Huyu ni Kimwana Jamilah Nyangasa!!! Miss International Tz 2008




Baada ya kufanya vizuri katika urembo! Jamila amehamia katika uanamitindo na sasa analitikisa jiji kwa catwalk na kung'ara zaidi pindi awapo juu ya stage!!!





Jamila akiwa na mrithi wake wa taji la Miss International Tanzania

1 comment:

  1. Anonymous10:25

    yalaaaaaaaaaah! mtoto mzuri kichiz! kweli bongo kuna vimwana. anapenda kutembelea maeneo gani? nionane nae? huyo mrithi wake mbona sio mzurikama yeye?

    ReplyDelete

sema tukusikie